Wednesday, 19 February 2014

MITAMBO MIPYA YA KUZALISHA UMEME YAWASILI JIJINI DAR ES ES SALAAM JUZI


Katibu Mkuu  wa Wizara ya Nishati na Madini Bw. Eliachim Maswi (Kushoto) akipata maelezo mafupi wakati wa hafla ya kupokea mitambo hiyo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania Tanesco  Bw. Felchesmi Mramba.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam  Juzi..




,
Moja ya Mitambo ya kuzalisha umeme ikipakiwa katika magari tayari kwa safari ya kwenda Kinyerezi ambapo ndipo mitambo hiyo itakapofungwa kwa ajili ya kuzalisha umeme,Mitambo hiyo Miwili imegharimu Dola za kimarekani milioni 183.


No comments: