CHETI CHA UTAMBUZI WA MADINI YA TANZANITE ( ZOISITE).
Cheti cha Utambuzi wa Madini ya Tanzanite
(Zoisite ) kilichotolewa na Maabara ya Taifa ya Madini Dodoma Mwaka 1967
ikiwa ni majibu kwa Mvumbuzi aliyewapelekea kwa ajili ya kuyabaini kwamba ni madini
gani.
No comments:
Post a Comment