Monday, 16 December 2013

JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFANYA UKAGUZI MIGODI YA TANZANITE MIRERANI

 

Wachimbaji wa Madini ya Tanzanite wakiwa na kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika Mji Mdogo wa Mirerani,Wilaya ya Simanjiro wakati wa ukaguzi wa usalama  


 

Wachimbaji wa Madini ya Tanzanite ( WanaApolo) wakiwa na  Askari wa jeshi la Zimaoto (aliyevaa sare) wakimuonyesha mojawapo ya kifaa wanachotumia katika shughuli za uchimbaji wa madini ya Tanzanite.


No comments: