Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue ameihusia timu ya wazalendo 14 iliyoundwa na kupewa jukumu la kushauri na kusimamia mchakato wa gesi asili .Timu hiyo itaongozwa na Profesa Florence Luoga.
Balozi sefue ameyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati akizindua timu hiyo yenye jukumu la kutoa ushauri na elimu wa kitaalamu ya jinsi Tanzania itakavyonufaika na rasilimali zake.
No comments:
Post a Comment