Mkuu wa mkoa wa kilimanjaro Leonidas Gama na viongozi wengine wa mkoa huo wakishuhudia zoezi la uokoaji wa miili ya watu hao ukiendelea .
Wasamaria wema wakijaribu kufukua miili ya watu waliofukika na kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumwani wilaya ya Moshi vijijini Mkoani Kilimanjaro
No comments:
Post a Comment