Thursday, 12 December 2013

MVUMBUZI WA MADINI YA TANZANITE DUNIANI




Mvumbuzi wa madini pekee duniani, Madini ya TANZANITE yanayopatikana nchini Tanzania, Mzee Jumanne Mhero Ngoma, akiendelea na jitihada zake za uchambuzi na utafiti wa madini mbalimbali yanayopatikana nchini Tanzania
 
Historia kamili ya uvumbuzi wa madini ya TANZANITE itakujia muda wowote kuanzia sasa endelea kufuatilia blog hii



No comments: