Wednesday, 11 December 2013

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI, PROF MUHONGO AKIONGEA NA MAKAMU WA RAISI WA BENKI YA MAENDELEO AFRIKA (AFDB)

 
Prof. Sospeter Muhongo ambaye ni Waziri wa Nishati na Madini Tanzania, akizungumza na Makamu wa Raisi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) Bw. Ubou Sabaa na ujumbe wake jana ofisini kwake mjini Dar Es Salaam. Madhumuni ya kikao hicho ni kuwasilisha taarifa ya maendeleo ya sekta ya nishati na Madini nchini Tanzania. Makamu wa Raisi wa Benki hiyo alifurahishwa na ukuwaji wa sekta ya nishati nakuahidi kutoa ushirikiano katika kukuza sekta ya nishati nchini Tanzania.
 
 

No comments: