Cheti
cha Tuzo kwa Mvumbuzi wa Madini ya Tanzanite,kilichotolewa na Tume ya Sayansi
na Technologia, chini ya Wizara ya Mipango na Uchumi, katika maadhimisho ya
sherehe za Mei Mosi Mkoani Mbeya Mwaka
1984,Baada ya serikali kufanya utafiti na kubaini
kwamba mvumbuzi wa madini
hayo ni Mzee Jumanne Mhero Ngoma.
No comments:
Post a Comment